Tunawakaribisha katika
Mafunzo ya Imam Hussain – Kambi ya Afya na Macho Bure pamoja na uchangiaji wa damu.
📆Ijumaa - Jumapili 1–3, Agosti 2025
⏰ Saa 01:00 asubuhi - 11:00 jioni
📍Viwanja vya Mnazi Moja, Dar es Salaam.
wote mnakaribishwa🙏